Luke 13:28

28 a“Ndipo kutakuwako kilio na kusaga meno, mtakapowaona Ibrahimu, Isaka, Yakobo na manabii wote wakiwa katika Ufalme wa Mungu, lakini ninyi mkiwa mmetupwa nje.
Copyright information for SwhKC